Basi hili linaitwa "FITINA JIRANI" Dar mpaka Kyela. Mnazi mmoja hiyo na hapo bado jamaa wanaendelea kupakia mzigo, Kitonga pale na zile kona za Iyovi watu wanalala nalo hilo utadhani linapinduka, lakini waapi, yaani ilikuwa kazi kweli kweli, na safari yenu mnafika salama salimini. Kipindi hiki ndiyo kipindi ambacho watu wengi walikuwa hawapendi kusikia habari za Mlima Kitonga.
Katika wasanii wenye kipaji cha kuigiza vizuri sana huyu naye yumo
Anaitwa Julieth Samson jina la usanii anajulikana kama KEMMY
Unakumbuka enzi ya kaole View attachment 2797594
Rais wa zamani wa Zambia Marehemu Kenneth Kaunda akisalimiana na mchezaji wa Simba Marehemu Abbas Dilunga aliyemtambulisha ni Nahodha Haidari Abedi Muchacho
Ili ilikuwa mwenye miaka ya 70