Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Maria Nyerere hapo aliambiwa Kuna Deal nalisubiria, baada ya muda Mumewe ndiyo Rais wa Tanganyika then baadaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
CD mkuu unanikumbusha route ya Iringa to Dar,kampuni ya KWACHA ilikua na Leyland CD,iliyobatizwa jina la Novallonge Swela,bus hii ilitamba sana,ukiwa Makanyagio ,muziki wa bus hii Mkwawa ulikua unasikika toka maeneo ya Ilala, kipindi nchi Ina heshima na adabuLang'ata hiyo enzi zake miaka ya 80. Kama kuna mtu alikwambia kwamba Leyland CD haikimbii, basi huyu mwamba ilikuwa ni habari nyingine, moto wa kuotea mbali Dar Moshi Arusha. Kampuni hii hata hivyo baadaye watoto walikuja kuivuruga ikagawanyika ikazaliwa "KIKAMBALA" yaani (KIKOSI KAMILI MBALI NA LANG'ATA). Kwa hiyo kukawa na Lang'ata na hiyo Kikambala. Hayo mabasi yalifanana rangi na kilakitu isipokuwa majina tu na wamiliki wake, hata hivyo hazikudumu zikaja kufa.View attachment 2847681
Sent using Jamii Forums mobile app