JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Ni kweli mkuuwalikua na heshima sana(Walijiheshimisha)

Nyerere na Malkia Juliana wa Uholanzi 1978. Malkia alikuja kumtembelea Mwalimu
( Huyu alikua Malkia 1948-1980)

Hapa Mwalimu na Bibi Eliza
 
Wadau kulikuwa na jukwaa likionyesha picha mbalimbali na wahenga,kina mwenye picha alikuwa anatuma je linaitwaje?
 
Habari za kimataifa
View attachment 1525805
Saddam Husein akichezea Bastola na mpwa wake 1980. Baadae alikuja kumuoa huyu mpwa wake[emoji1][emoji1]

ila nimeamuni leo kila binadamu kuna sehemu ana utoto ndani yake [emoji23],Saddam na ugumu wote ule aliweza kufanya hvo tena kwenye picha !!!!
yani Biography yake tu kwanza ni nzito alihukumiwa kifo akiwa 20’s
 
Hahahaa kuna vitu watu powerful wanafanya nyuma ya pazia ukisimuliwa hutaamini
 
Hahahaa kuna vitu watu powerful wanafanya nyuma ya pazia ukisimuliwa hutaamini

[emoji1787]leo nimeamini kabisa Mkuu,yani miaka yote huwa namuona jamaa kama mwamba fulani mtata,yani kwa kifupi hapa Duniani hakuna Binadamu mtata kama yeye hata Hitrel hakuwa kauzu kama Saddam .alafu kumbe kwa wanawake Saddam alikuwa mtoto hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…