GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Dah! Huu uzi umenigusa. Kuna picha zinasisimua.
Picha za Viongozi wetu enzi hizo wakikutana na Wa Mataifa kama China na USA ilikuwa habari kubwa hadi taarifa zinachapwa na kusambazwa kiprotocol. Unakuta Nyerere au Salim A. Salim ameweka pozi la kimadaraka mwenyeji kama anajipendekeza vile.
Laiti Uongozi uliomfatia Nyerere ungekuwa na Haiba zake kama.
Kuandika dira ya Taifa, Azimio la Arusha, misingi ya jamii, uchumi na watu wake.
Uzalendo kwa taifa bila mvurugano, ona kuna usawa wa kiteuzi muda wa uhuru wazungu na wahindi waliula.
Ila ndio hivyo kuna baadhi ya vikundi vinarubuniwa kuwa huo ni ubaguzi ubaguzi matokeo yake ni kulalamika na kuomba mageuzi.
Nchi yetu ingeendelea kwa speed ile ya Nyerere naamini leo Kenya hata kudhubutu kuwaza Kuandika jina la Tanzania kwa nia mbaya ingekuwa mtihani.
Ni kweli mkuuwalikua na heshima sana(Walijiheshimisha)
Nyerere na Malkia Juliana wa Uholanzi 1978. Malkia alikuja kumtembelea Mwalimu
( Huyu alikua Malkia 1948-1980)
Hapa Mwalimu na Bibi Eliza