JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Wake zake, kama yeye mwenyewe, walikuwa wapiganaji.
 
True story Mkuu, lkn hawa Marubani Captain Karama na Captain Kikunda walifia palepale Uwanjani Uwanja wa Taifa (Uhuru) nje na viwanja vya TTC Chang'ombe, DUCE uelekeo wa ndege ulishafika maeneo hayo uwanjani na Kariakoo ni mbali, kwa hiyo angeEject mapema bado angeangukia eneo hilo, walichocheza nacho ni ndege isidondokee uwanjani
 
Wanasema mzee karume hakujua kusoma na kuandika kiingereza
So mpaka leo muungano ni batili
Doctrine of none est fuctum
Huu sio ukweli.

Sheikh Karume alikuwa ni baharia kwa kazi yake(SeaMan) ameizunguka dunia kutokana na kazi yake ya ubaharia.
Aliyoifanya miaka kwa miaka.

Haiingii akilini kuwa hakujua kiingereza ama kusoma kwa wakati huo kwa kuwa alikuwa akikitumia kwenye kazi zake za ubaharia.

Ni kweli Sheikh Karume hakuwa msomi kwa kiwango cha kariba ya Julius Nyerere na Aboud Jumbe wanafunzi wa Makerere.

Ila alikuwa na exposure kubwa sana kutokana na asili ya kazi yake ya kuzunguka duniani.
 
Nilitaka kushangaa kiongozi wa shirikisho la vyama vya mabaharia then asijue kiingereza.
 
Mkuu unaeza kujua kuongea lugha yoyote na usijue kuiandika wala kuisoma lugha yenyewe...hilo halipingiki...ila hili la Karume tunaitaji kujifunza zaidi.
 
Mkuu unaeza kujua kuongea lugha yoyote na usijue kuiandika wala kuisoma lugha yenyewe...hilo halipingiki...ila hili la Karume tunaitaji kujifunza zaidi.
Upo sahihi sana.

Ila tumeona kwenye picha nyingi Sheikh Karume akisoma hotuba.

Narudia kusema kuwa nadharia kuwa Sheikh Karume hakujua kusoma, nadharia hii ipo mbali na ukweli.


Hapa Sheikh Karume akitia saini ya "maandishi" makubaliano ya awali ya Muungano wanashuhudia Oscar Kambona na Waziri mkuu wa Seimrikali ya watu wa Zanzibar Abdallah Kassim Hanga.
 

Katika kitu kingine najifunza kwa huyu mzee mchonga ni kutojiachia kitambi pamoja na wadhifa wake

Imefikia kipindi kitambi kinalinganishwa na hadhi ya mtuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tusio na miili obese tunaonekana hatuna fweza/wadhifa

#nyerereDAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…