Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Wake zake, kama yeye mwenyewe, walikuwa wapiganaji.View attachment 1592121
Josina Machel. mwanaharakati, Mwanamapinduzi, Mpigania uhuru wa Msumbiji, Mke wa kwanza wa Samora Machel Rais wa Msumbiji. binafsi namlinganisha na TAMARA BUNKE mwanamke jasiri msaidizi wa Major Ernesto CHE Guevara ama Salia Sanches Mwanamke shupavu Msaidizi wa Fidel Castro
Licha ya harakati zake Josina hakuonja matunda ya uhuru. alifariki na kuzikwa Dar es Salaam kabla ya uhuru wa Msumbiji