JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Asingenga'nga'nia madaraka angeingia kwenye mashujaa wa Afrika
Hakika kabisa mkuu
Tatizo la kile kiti ni kama kina mashetani yaaani mtu anabadilika kabisa tofauti naa misimamo ya mwanzoni ya maslahi ya taiga kwanza. Mpaka saivi anajiita "Kotapini".... Anaingia kwa nyundo ukitaka kumtoa pia ni nyundo sio makaratasi hahaha
 
I feel so sorry for such African leaders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…