JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

walio hai watakuwa na miaka 72 hadi sasa - tumechukulia walikuwa na 18 yrs mwaka 1967.
 
Kanali Abdullrahmani Kinana(Naibu Waziri wa Ulinzi na jkt) na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Waziri wa Nishati na Madini. Siku ya Kuustaafu rasmi Utumishi Jeshini Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli(TMA) mwaka 1992
hawa watu wanavyoheshimika hivi katika kulitumikia taifa letu mtu mmoja anasema ati wajiangalie sana wanaweza kushughulikiwa vilevile - aisee !!
 
Hii naikumbuka hii,Memory QView attachment 1527954
Ukiwa nayo hii miaka ya 1979 wewe mtaa nzima ni nouma, staa yaani...kuna mwalimu alikuwa nayo hii basi akipata mshahara ananunua betri 8 za national aisee ni mziki mwanzo mwisho......

Nakumbuka mziki wa Embassy ukipigwa basi mama atanitafuta no where to be seen...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…