Miss Tanzania 1967
View attachment 1520075
Miss Tanzania wa kwanza mweusi.
View attachment 1520076
Teressq Shayo Miss Tanzania 1968
Kumbe wadada kuvaa vinguo vifupi wameanza kitambo?🤣🤣
Ila huu uvaaji ndo ulifanya mashindano yakapigwa marufuku kwa miaka 27 kwakua yanapingana na tamaduni zetu. Yalikuja kurudi tena mwaka 1994 na alishinda Aina Maeda
View attachment 1520077
Miss Tanzania(Teresa Shayo), Miss Uganda(Rosemary Salmon), Miss Nigeria(Rosalind Balogun) na Miss Ghana(Araba Vroon) wakiwa katika mashindano ya Miss World, UK
Bi Teresa Shayo alifariki mwaka 2007 huko Ujerumani alikokua akiishi kwa Kansa ya Tumbo...RIP