Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nimetumiwa hizo Mia 5, Mia 200
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548]
Hii movie ya John Wayne ilitoka 1982
Na iliingiza kiasi cha $13Milion mauzo
Inahusu wawindaji ambao wanakamata wanyama kwenda kuuza kwenye Zoo
View attachment 1520775View attachment 1520776View attachment 1520777
Dunia ilikuwa haijavaa bikini bado..Sasa kitu cha kushangaza ni kwamba rnzi zile sheria zilikua haziwabani sana wawindaji( Hakukua na sheria kali za wanyamapori)
Baada ya kumaliza kushoot hii movie 1962
Director Howard Hawks alizawadiwa haka kandama ka Chui[emoji1][emoji1]
View attachment 1520783
Dah. I like this..hii imenivutia mno..what a wasted historyView attachment 1520801
Kibanda cha mganga wa kienyeji karibu na Crater 1958
Haya mambo mmeanza siku nyingi Mshana Jr
GeoMex wewe ni hatari mzee