JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

D7E7B481-D6A1-46FB-A605-AC09D9872E85.jpeg
C61BBCD8-C8B9-4630-9B79-5AEE81AC838D.jpeg

Duka la Mr Bunduki 1959

Mr. Duncan katika uwindaji na kurepair Bunduki alikua maarufu sana Arusha hadi akapewa nickname Mr Bunduki
 
Ukisoma historia na kuangalia hizi picha, na ukilinganisha na sasa tumerudi nyuma. We were good back then.
View attachment 1519931
Independence Street Saivi unaitwaje huu mtaa??..........[emoji1][emoji1]
VW Bito.....gari ya wafanyakazi/mabosi
Peugeot Gurue......Gari ya mabaharia

Zamani tulikua hadi tuna Parking Meters kama kwa bibi vile. Sijui tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
 
4B17B35D-AC63-4050-A5FA-F6C329952798.jpeg

Wakafanikiwa kumuua yeye na Rafiki yake huyo Mr. Krokowski( Alikua mPoland mkimbizi waliomkimbia Hitler wakaja kukaa Tengeru pale) .....ntakuja na stori zake nae sikumoja Mungu akijalia

Serikali ya Malkia lakini iliwanyang'anya hizo Pembe za faru kwakua zilikua kubwa sana( Kama mawe ya Saniniu 😄😄) so hawakuweza kuzimiliki wakaambiwa ni mali ya Her Majesty
 
View attachment 1520963
Wakafanikiwa kumuua yeye na Rafiki yake huyo Mr. Krokowski( Alikua mPoland mkimbizi waliomkimbia Hitler wakaja kukaa Tengeru pale) .....ntakuja na stori zake nae sikumoja Mungu akijalia

Serikali ya Malkia lakini iliwanyang'anya hizo Pembe za faru kwakua zilikua kubwa sana( Kama mawe ya Saniniu [emoji1][emoji1]) so hawakuweza kuzimiliki wakaambiwa ni mali ya Her Majesty
Dah,mkuu wewe ni mwana saaaana! [emoji2956]
 
Back
Top Bottom