GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Ile chemchem sijui?Ngoitoktok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile chemchem sijui?Ngoitoktok
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavimba mwenyeweeeh
Mkuu hii ilikuwa upande gani?
Chui ni hatari sana mkuu.
Ndio mkuu..picnic site piaIle chemchem sijui?
View attachment 1519931
Independence Street Saivi unaitwaje huu mtaa??..........[emoji1][emoji1]
VW Bito.....gari ya wafanyakazi/mabosi
Peugeot Gurue......Gari ya mabaharia
Zamani tulikua hadi tuna Parking Meters kama kwa bibi vile. Sijui tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Dah,mkuu wewe ni mwana saaaana! [emoji2956]View attachment 1520963
Wakafanikiwa kumuua yeye na Rafiki yake huyo Mr. Krokowski( Alikua mPoland mkimbizi waliomkimbia Hitler wakaja kukaa Tengeru pale) .....ntakuja na stori zake nae sikumoja Mungu akijalia
Serikali ya Malkia lakini iliwanyang'anya hizo Pembe za faru kwakua zilikua kubwa sana( Kama mawe ya Saniniu [emoji1][emoji1]) so hawakuweza kuzimiliki wakaambiwa ni mali ya Her Majesty