Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh,mkuu Endelea.View attachment 1521473
Askari majeruhi wakiwa katika Manowari HMS Canteur. Hapo ndo Mwalimu JKN akavunja KAR na kuanzisha JWTZ
Nikweli mkuu kuna pahala nilisoma hii [emoji817]%View attachment 1521462
Maasi ya Jeshi(KAR) Jan 1964 iliyopelekea Mwalimu kuomba msaada kwa Bibi aje atusaidie kuzima. Manowari ya UK HMS Canteur ikiwa na 45th GROUP MARINE COMMANDOS ikafika pwani ya Dsm wakaruka na Helikopta mpaka Colito(Lugalo) wakawanyang'anya silaha wanajeshi waasi.
Hapo juu Askari muasi anasalimisha silaha yake
Nikweli mkuu kuna pahala nilisoma hii [emoji817]%
Angekukula naweIla mkwere n HB jamaniiih, afu ni casual toka kitambo lol.
Tushukuru Mungu muingereza aliyaacha makoloni yake vizuri, tungetawaliwa na Mfaransa huenda nchi ingeshapinduliwa kipindi kileView attachment 1521462
Maasi ya Jeshi(KAR) Jan 1964 iliyopelekea Mwalimu kuomba msaada kwa Bibi aje atusaidie kuzima. Manowari ya UK HMS Canteur ikiwa na 45th GROUP MARINE COMMANDOS ikafika pwani ya Dsm wakaruka na Helikopta mpaka Colito(Lugalo) wakawanyang'anya silaha wanajeshi waasi.
Hapo juu Askari muasi anasalimisha silaha yake
Ni ceremonial president,PM Mugabe ndo alikuwa kila kitu.View attachment 1519919
Watu wengi huwa wanadhani Mugabe ndio alikua Rais wa kwanza wa Zimbabwe.
Kuna mwamba aliitwa Canaan Bondido Banana ndio alipewa usukani baada ya makubaliano ya Lancaster na R. Mugabe alikua Waziri Mkuu