JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

1F7AB32E-9625-4A3F-9E56-F7D6FCAAF48E.jpeg

Wale waliozidiwa walipakiwa kwenye Chopa mpaka kwenye manowari iliyokua imetia nanga Bahari ya Hindi kupata matibabu zaidi
 
View attachment 1521462
Maasi ya Jeshi(KAR) Jan 1964 iliyopelekea Mwalimu kuomba msaada kwa Bibi aje atusaidie kuzima. Manowari ya UK HMS Canteur ikiwa na 45th GROUP MARINE COMMANDOS ikafika pwani ya Dsm wakaruka na Helikopta mpaka Colito(Lugalo) wakawanyang'anya silaha wanajeshi waasi.

Hapo juu Askari muasi anasalimisha silaha yake
Nikweli mkuu kuna pahala nilisoma hii [emoji817]%
 
View attachment 1521462
Maasi ya Jeshi(KAR) Jan 1964 iliyopelekea Mwalimu kuomba msaada kwa Bibi aje atusaidie kuzima. Manowari ya UK HMS Canteur ikiwa na 45th GROUP MARINE COMMANDOS ikafika pwani ya Dsm wakaruka na Helikopta mpaka Colito(Lugalo) wakawanyang'anya silaha wanajeshi waasi.

Hapo juu Askari muasi anasalimisha silaha yake
Tushukuru Mungu muingereza aliyaacha makoloni yake vizuri, tungetawaliwa na Mfaransa huenda nchi ingeshapinduliwa kipindi kile
 
Back
Top Bottom