JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

85460560-9700-4747-9EE9-3EA87FBCDF79.jpeg

Fidel na Kinana
 
Hahaaa vipi mkuu??
Ulikua humjui Sam Mwakangale??

JK kwenye msiba wa Madiba alimtania Mbeki kwamba yeye karudisha viatu vya Mandela aliviachaga Dar vipi we Thabo Mbeki usharudisha Passport yetu??

Mwingine aliyekiri hadharani ni Raila Odinga naye alipewa kitabu cha Tanzania

Tanzania kimbilio la wote, twawakaribisha🇹🇿🇹🇿
 
Hahaaa vipi mkuu??
Ulikua humjui Sam Mwakangale??

JK kwenye msiba wa Madiba alimtania Mbeki kwamba yeye karudisha viatu vya Mandela aliviachaga Dar vipi we Thabo Mbeki usharudisha Passport yetu??

Mwingine aliyekiri hadharani ni Raila Odinga naye alipewa kitabu cha Tanzania

Tanzania kimbilio la wote, twawakaribisha[emoji1241][emoji1241]
TZ ni Mecca ya Liberation mkuu......tunajivunia!
 
Hahaaa vipi mkuu??
Ulikua humjui Sam Mwakangale??

JK kwenye msiba wa Madiba alimtania Mbeki kwamba yeye karudisha viatu vya Mandela aliviachaga Dar vipi we Thabo Mbeki usharudisha Passport yetu??

Mwingine aliyekiri hadharani ni Raila Odinga naye alipewa kitabu cha Tanzania

Tanzania kimbilio la wote, twawakaribisha[emoji1241][emoji1241]
Asante sana hili kwakweli nilikuwa silijui
 
Back
Top Bottom