Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaunda pia...kulia hapa.View attachment 1521878
Tanzania ilikua nyumbani kwa wanamapinduzi Hapo Castro, Nyerere, Mobutu
DuuView attachment 1521892
Wapigania Uhuru waliokua wanatafutwa Mwalimu aliwapa Passport za Bongo. Hio hapo ya Samora Machel akitumia jina la Sam Mwakangale
Swadakta kingoziKaunda pia...kulia hapa.
Hahaaa vipi mkuu??
Mkuu huyu sio Che guvera kwl????View attachment 1521884
Mondlane na Castro......
Mondlane ndo alikuja kuuwawa kwa Bomu alilotumiwa kwenye barua nyumbani kwake (Masaki sijui?? )na Shirika la ujasusi South Africa(BOSS)
TZ ni Mecca ya Liberation mkuu......tunajivunia!Hahaaa vipi mkuu??
Ulikua humjui Sam Mwakangale??
JK kwenye msiba wa Madiba alimtania Mbeki kwamba yeye karudisha viatu vya Mandela aliviachaga Dar vipi we Thabo Mbeki usharudisha Passport yetu??
Mwingine aliyekiri hadharani ni Raila Odinga naye alipewa kitabu cha Tanzania
Tanzania kimbilio la wote, twawakaribisha[emoji1241][emoji1241]
Uwage na adabu weee kiumbe khaaaahAngekukula nawe
Mmmmmmh
Narekebisha mkuu huyu ni gwevara cheView attachment 1521884
Mondlane na Castro......
Mondlane ndo alikuja kuuwawa kwa Bomu alilotumiwa kwenye barua nyumbani kwake (Masaki sijui?? )na Shirika la ujasusi South Africa(BOSS)
Mbona gari imekata ringiMzee wa nyagi [emoji13][emoji13]
Mkuu, huyo ni Sam Safinshuna Nojuma wa NamibiaView attachment 1521892
Wapigania Uhuru waliokua wanatafutwa Mwalimu aliwapa Passport za Bongo. Hio hapo ya Samora Machel akitumia jina la Sam Mwakangale
Asante sana hili kwakweli nilikuwa silijuiHahaaa vipi mkuu??
Ulikua humjui Sam Mwakangale??
JK kwenye msiba wa Madiba alimtania Mbeki kwamba yeye karudisha viatu vya Mandela aliviachaga Dar vipi we Thabo Mbeki usharudisha Passport yetu??
Mwingine aliyekiri hadharani ni Raila Odinga naye alipewa kitabu cha Tanzania
Tanzania kimbilio la wote, twawakaribisha[emoji1241][emoji1241]
Usisahau huyo JK ni shemeji yako watu wa kusiniUwage na adabu weee kiumbe khaaaah
Hawa wametokezea kama BONNIE & CLYDE 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Sasa unajua ni shemeji yangu, why useme atanikula mie? Usitake kugombanisha ndoa ya dada angu lol, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Usisahau huyo JK ni shemeji yako watu wa kusini