The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Dah askari wetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah askari wetu!
Sio Osale kweli huyu?View attachment 1524374
Huyu jamaa sijui alikua na kosa ganii?? Sh 5,000 wakati huo ndo mshahara wa Rais Nyerere[emoji1][emoji1]
Dah.hahahaView attachment 1524377
Majina ya kibantu magumu hadi USA ikabidi waanze kufundishana matamshi[emoji1787][emoji1787]
Mama alitoa copyView attachment 1524381
1997 Msiba wa Mama yake Mwalimu
View attachment 1524427
Bi Christina Mugaya 1897-1997(Mama Mzazi wa Mwalimu)
Hapa ilikuwa uwanja wa Sifa TemekeView attachment 1524383
Mzee wa Kiraracha 1995 na nani???
Kuna watu wanatamani turudi hukuView attachment 1524385
Enzi zilee Raisi na kivuli(NDIYO/HAPANA)
Piga ua hao kwenye picha lazima Umomi kawafikishia current news za bongoView attachment 1520730
Mnazi mmoja 1960
Dah hilo pozi la mmatumbi aliyeshika huo mlango wa ndegeView attachment 1520966
Mwaka 1963 Mr Duncan alisepa Tanganyika na kurudi kwao Scotland yeye na familia yake
Jamani maisha haya[emoji16][emoji16][emoji16]
Malecela na Msekwa.Anaumwa sana mzee yule dahh
Naona vyuma vilivyobaki walioumbwa kwa udongo mkavu ni A. H Mwinyi na Warioba tu ndo wanadunda bado
Asante sanaView attachment 1524404
Omar Kangubaya( Mtunzi wa wimbo Salam kwa wagonjwa kipindi cha RTD) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Wahenga mtakua mnaujua huo wimbo
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1524383
Mzee wa Kiraracha 1995 na nani???
Hakika vile ni vyuma....mzee C Msuya na Malecela nao wamo mdogo mdogoAnaumwa sana mzee yule dahh
Naona vyuma vilivyobaki walioumbwa kwa udongo mkavu ni A. H Mwinyi na Warioba tu ndo wanadunda bado
Mkuuu,asante saaana!mie sina manebo mengi..endelea mkuu.nimeziona hizo like tu Mkwepu style ningeshangaa usingetia neno[emoji1][emoji1]
Tumetoka mbali sana. Ngoja nitafute na zile kura zilizokua hazina hata picha zina Jembe, Nyundo nk[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]asante mkapa.Aiseee[emoji23][emoji23]
Wengine tulikuwa tuna mwaka mmoja kama si mwezi mmoja kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]asante mkapa.