Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi nimeuelewa kinomaMarehemu Nkurunzinza akiwa na wifeView attachment 1525325View attachment 1525326
Duuuuih hatareeeeeh sanMarehemu Nkurunzinza akiwa na wifeView attachment 1525325View attachment 1525326
Huyu sio marehemu Chacha zakayo wangwe akiwa na kanal muamar Gaddaf
Bize au?kiasi....
Hao wote hapo ni marehemu 🤣🤣🤣
Uwe unasalimia wakubwa zako humuAiseee[emoji23][emoji23]
Wengine tulikuwa tuna mwaka mmoja kama si mwezi mmoja kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv huyu si ndio aliepiga ile ngoma iliyokuwa inasikika radio Tanzania kabla.na baada ya taarifa ya habari?View attachment 1524406
Morris Nyunyusa alikua mlemavu wa macho(Kipofu) ila alikua anapiga ngoma balaa
Kwa sasa yupo wapi?View attachment 1523214
Mwanajeshi wa kiTanzania(Isomeke Tanganyika) aliyepigana vita ya kwanza ya Dunia WWI akiwa upande wa Ujerumani
Joseph Mambo alizaliwa 1885 Tanga na akachukuliwa na wajerumani akiwa mtoto mwaka 1897. Alitumikia kikosi cha 3rd Prussian Grenadiers katika vita ya kwanza ya Dunia 1914-18