Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
SAS ni mgonjwa mkuu, nasikia yupo UKNi mda sana ajatokea hata kwenye shughuli za kiserkali na chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAS ni mgonjwa mkuu, nasikia yupo UKNi mda sana ajatokea hata kwenye shughuli za kiserkali na chama.
Ni malijendKumbe walianza kitambo
@Mohamed Said njoo hapa utupe ukweli tafadhaliHizo habari sio za kweli.
Kitwana Kondo hakuwa mpigania uhuru bali alikuwa upande wa mkoloni.
Kitwana Kondo KK
Alikuwa Special Branch(Kachero/Tiss)wa Serikali ya kikoloni kazi yake pamoja na mambo mengine ni kupeleka taarifa za kishushushu na harakati za Tanu kwa Bwana Gavana Sir Richard Tunbull pale Government House(Ikulu)
Baadae akaja kuwa Meya maarufu sana wa Jiji la Dar Es Salaam na kisha kuwa Mbunge wa Kigamboni.
Alikuwa rafiki sana na Rais Ali Hassan Mwinyi.
Alifariki mwaka juzi 2017 nyumbani kwake Upanga.
Kumbe jamaa alikuwa YudaChangamsha genge za vijiweni[emoji1][emoji1]
Nakumbuka nishawahi kumsoma kwenye makala za Sheikh Mohamed Said kwamba jamaa alikua akiingia Ikulu kwa Twining kumpelekea umbea
Man - gay - nyah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1524377
Majina ya kibantu magumu hadi USA ikabidi waanze kufundishana matamshi[emoji1787][emoji1787]
1962Kuna Movie moja ilikua bonge la blockbuster 1960s inaitwa Hatari
Watu wengi hawaifaham ila iliigiziwa Arusha
Hamishia kwenye Google PhotoAsante mkuu. Mie napenda sana picha na historia simu yangu inajaaga Picha tu za kuhofadhi kumbukumbu
Umri ulio kuzidi wwe hata kama ni siku moja
Basi kila mtu ni mkubwaUmri ulio kuzidi wwe hata kama ni siku moja
Duh mtu wa 1800 huko unauliza yupo wapKwa sasa yupo wapi?
Shairi hili alitungiwa mtu aliewahi kupendwa sana na huyu Mwamba,
Duh mtu wa 1800 huko unauliza yupo wap
Hamishia kwenye Google Photo
1962
Kumbe jamaa alikuwa Yuda
Hiv huyu si ndio aliepiga ile ngoma iliyokuwa inasikika radio Tanzania kabla.na baada ya taarifa ya habari?