JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

F396CDB5-15D4-4A5A-9640-A6B8B05C8D4D.jpeg

Ugonjwa wa kucheka cheka mashuleni 1962
 
Dah! Huu uzi umenigusa. Kuna picha zinasisimua.

Picha za Viongozi wetu enzi hizo wakikutana na Wa Mataifa kama China na USA ilikuwa habari kubwa hadi taarifa zinachapwa na kusambazwa kiprotocol. Unakuta Nyerere au Salim A. Salim ameweka pozi la kimadaraka mwenyeji kama anajipendekeza vile.

Laiti Uongozi uliomfatia Nyerere ungekuwa na Haiba zake kama.

Kuandika dira ya Taifa, Azimio la Arusha, misingi ya jamii, uchumi na watu wake.

Uzalendo kwa taifa bila mvurugano, ona kuna usawa wa kiteuzi muda wa uhuru wazungu na wahindi waliula.

Ila ndio hivyo kuna baadhi ya vikundi vinarubuniwa kuwa huo ni ubaguzi ubaguzi matokeo yake ni kulalamika na kuomba mageuzi.

Nchi yetu ingeendelea kwa speed ile ya Nyerere naamini leo Kenya hata kudhubutu kuwaza Kuandika jina la Tanzania kwa nia mbaya ingekuwa mtihani.
 
@Mohamed Said njoo hapa utupe ukweli tafadhali
Kanungila,
Kweli Mzee Kondo alikuwa kachero na hili si siri mimi kanieleza kwa mdomo wake ingawa nilikuwa nafahamu ila siku hiyo aliponieleza alikuwa ananipa jina la kachero aliyekuwa akimchimba Julius Nyerere ilhali yeye mwenyewe ni kiongozi mkubwa wa TANU.
 
Ka

Karibu mzee wangu

Nnayo ile Picha ya Nyerere anakabidhiwa Samani Magomeni kwa ruhusa yako naomba niipandishe hapa
 
Back
Top Bottom