Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
K.K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
These are truly African heroesView attachment 1753635
Wazee Wa Kazi!
Huyo Mgaya kazikwa Usangi Kilimanjaro mwaka janaDah zamani sana aisee
Na kuna huyu P. Mgaya alianza kuwa ADC wa Mwalimu baadae RPC Dodoma na akawa IGP 1975 akitokea cheo cha SSP tu
View attachment 1752671
Huyu ndo muanzilishi wa kampuni ya ulinzi SGA ina tenda za kusafirisha hela mabenki mengi sana. Kafariki mwaka jana nadhani. Kampuni ilipata makashfa mengi ya wafanyakazi kutoroka na mabilioni ya hewa wanazokabidhiwa wanapak gari wanakimbia na hela hadi JPM akaagiza hizo kazi zianze kufanywa na Polisi wenyewe. Na pia ikatengenezwa database ya wafanyakazi wa kampuni za ulinzi
View attachment 1752672
Hapa ni huyo kulia akiwa na Mwandosya na Leonel Mawalla(alikua boss TPDC)
Sure!These are truly African heroes
Apumzike Kwa Amani!Huyo Mgaya kazikwa Usangi Kilimanjaro mwaka jana