JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

gettyimages-1188731905-612x612.jpg

K.K
 
Dah zamani sana aisee
Na kuna huyu P. Mgaya alianza kuwa ADC wa Mwalimu baadae RPC Dodoma na akawa IGP 1975 akitokea cheo cha SSP tu
View attachment 1752671
Huyu ndo muanzilishi wa kampuni ya ulinzi SGA ina tenda za kusafirisha hela mabenki mengi sana. Kafariki mwaka jana nadhani. Kampuni ilipata makashfa mengi ya wafanyakazi kutoroka na mabilioni ya hewa wanazokabidhiwa wanapak gari wanakimbia na hela hadi JPM akaagiza hizo kazi zianze kufanywa na Polisi wenyewe. Na pia ikatengenezwa database ya wafanyakazi wa kampuni za ulinzi
View attachment 1752672

Hapa ni huyo kulia akiwa na Mwandosya na Leonel Mawalla(alikua boss TPDC)
Huyo Mgaya kazikwa Usangi Kilimanjaro mwaka jana
 
Back
Top Bottom