JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

images (5).jpeg

Saundra Brown, mwanamke wa kwanza mweusi katika Jeshi la Police la Oakland kufundishwa namna ya kutumia shotgun - 1970
 
Bado kidogo niseme Michael Jackson akiwa na Prof Lipumba.. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Hahahaha
 
Duuh! Prof hana mdomo wa hivyo!
 
View attachment 1754548
L-R, Idriss Deby (Chad), JK, Ian Seretse Khama (Botswana), Ali Bongo (Gabon), Dr. Tedros Ghebreyesus - Waziri Mambo ya Nje (Ethiopia) & William Hague. Mwaka 2014.
Dr. Tedros sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa WHO.
Huyu Idriss Dêby ameuwawa leo hii akiwa anapambana na waasi wa Chad!
Ameamua kwenda Frontline mwenyewe, na waasi wamemrestisha in peace.
 
Back
Top Bottom