Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kushoto ni mwamba Samora Machel na kulia ni mwamba Eduardo Mondlane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadithi ya Samora na Mondlane wa Msumbiji inataka kufanana na hadithi ya Paul Kagame na Fred Rwegima wa RPF ya RwandaKushoto ni mwamba Samora Machel na kulia ni mwamba Eduardo Mondlane.
View attachment 1913319
Wap huko jamani
Edson Arantes Dos Nascimento PeleSio Abeid=Ghanaian
Huyu ni
Edson Nasmento Pele=Brazilian
Kwamba Machel alimuondoa Mondlane?Hadithi ya Samora na Mondlane wa Msumbiji inataka kufanana na hadithi ya Paul Kagame na Fred Rwegima wa RPF ya Rwanda
Duuuuh!Back in 1996, a PanAm plane was needed to transport a 5MB hard drive.
View attachment 1916497
Siri kubwa. Hasa ikimuhusisha mtu mwingine wa tatu hapo. Bingwa wa mabingwa wa siasa za kiafrika na ukombozi, ambaye siku zote mkono wake wa chuma haukua ukionekana, mtaalamu na MWALIMU wa njama za kidola, mwana propaganda wa asili na aliyekubuhu, mtu aliyeheshimika sana huku upande wake wa pili wenye sura ya ukatili ukiwa haujulikani na waliowengi. Alipata kua Rais wa kwanza wa nchi fulani barani Afrika. Sasa hivi ni marehemuKwamba Machel alimuondoa Mondlane?
Siri kubwa. Hasa ikimuhusisha bingwa wa mabingwa wa siasa za kiafrika na ukombozi, ambaye siku zote mkono wake wa chuma haukua ukionekana, mtaalamu na MWALIMU wa njama za kidola, mwana propaganda wa asili na aliyekubuhu, mtu aliyeheshimika sana huku upande wake wa pili wenye sura ya ukatili ukiwa haujulikani na waliowengi. Alipata kua Rais wa kwanza wa nchi fulani barani Afrika. Sasa hivi ni marehemu
Kalagabaho. Usilolijua ni kama usiku wa kiza. PotezeaUtafikiri unaficha jambo la maana kumbe ni ujinga tu.
Kweli matako hua yanasingiziwa tu,yenyewe hua Ni spika tu.Kalagabaho. Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Potezea
daaa watu wanatoka mbali mtu wangu,maisha haya usimchukulie mtu poa Aiseethe
Mtu mwenye Mafanikio makubwa Duniani Barack ObamaView attachment 1916624View attachment 1916627
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hii ilimfanya Rambo kujulikana Sana...yaani akipigiwa promo bila kutoa hata sumni