JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Kushoto ni mwamba Samora Machel na kulia ni mwamba Eduardo Mondlane.
8ce.jpg
 
Kwamba Machel alimuondoa Mondlane?
Siri kubwa. Hasa ikimuhusisha mtu mwingine wa tatu hapo. Bingwa wa mabingwa wa siasa za kiafrika na ukombozi, ambaye siku zote mkono wake wa chuma haukua ukionekana, mtaalamu na MWALIMU wa njama za kidola, mwana propaganda wa asili na aliyekubuhu, mtu aliyeheshimika sana huku upande wake wa pili wenye sura ya ukatili ukiwa haujulikani na waliowengi. Alipata kua Rais wa kwanza wa nchi fulani barani Afrika. Sasa hivi ni marehemu
 
Siri kubwa. Hasa ikimuhusisha bingwa wa mabingwa wa siasa za kiafrika na ukombozi, ambaye siku zote mkono wake wa chuma haukua ukionekana, mtaalamu na MWALIMU wa njama za kidola, mwana propaganda wa asili na aliyekubuhu, mtu aliyeheshimika sana huku upande wake wa pili wenye sura ya ukatili ukiwa haujulikani na waliowengi. Alipata kua Rais wa kwanza wa nchi fulani barani Afrika. Sasa hivi ni marehemu

Utafikiri unaficha jambo la maana kumbe ni ujinga tu.
 
Back
Top Bottom