kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Railway Asset A. Kama nilichoambiwaga ni sahihi. Hilo ni Basi la Railway.Plate number RAA ilikuwa ikimaanisha nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Railway Asset A. Kama nilichoambiwaga ni sahihi. Hilo ni Basi la Railway.Plate number RAA ilikuwa ikimaanisha nini??
Thanks mkuuRailway Asset A. Kama nilichoambiwaga ni sahihi. Hilo ni Basi la Railway.
Huyu mwamba bado yupo hai
Alikua beki wa kushoto huku beki ya kulia akicheza marehemu Yusuph Ismail Bana. Mabeki wa kati walikua Athuman Juma "Chama" na Rashid Idd Chama
Ajabu ni kwamba hiyo ya mwaka 20 ilitengeneza barabara imara kuliko za sasa
Duh.. What a memory![emoji1545][emoji1545][emoji1545]Alikua beki wa kushoto huku beki ya kulia akicheza marehemu Yusuph Ismail Bana. Mabeki wa kati walikua Athuman Juma "Chama" na Rashid Idd Chama
Katikati alikua Juma Mkambi "Jenerali". Dah! Zimepita zama!
Huyu Amasha alimvunja mguu Yusuph Ambwene wa CDA ya Dodoma na kumstaafisha soka. Mpira wa bongo wa zamani ulikua tough and sometimes rough. Lazima uwe na ubavu kuwez kucheza hasa kwa level ya juu