JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

PICHA YA KWANZA CAPTEN WA SIMBA SPORTS CLUB HAIDARY ABEID MUCHACHO AKIPOKEA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI 1974 PICHA YA PILI WAKATI WA MAPUMZIKO YUPO MOHAMED KAJOLE
Screenshot_20220105-031812.jpg
 
Tuwakumbuke wahenga hawa DISCO TECH enzi hizo.
Dj Chriss Phabby, Dj Eddy Sally, Dj Kalikali,
Dj John Peter ( Pentalakis ), Dj Choggy Sly,
Dj Nigger J ( maestro Masoud Masoud )
Dj Mehboob.
Screenshot_20220110-033911.jpg
 
Wote waliaga dunia 2 January 2022. Mmoja nje alikua Mwafrika lakini ndani yake alihisi ni mzungu ilhali Mwengine alikua Mzungu nje lakini ndani yake alihisi kuwa Mwafrika halisi. Wengi wamjua Charles Njonjo. Uyo mwengine ni Dr. Richard Leakey alikua mwanaharakati wa mazingira na wildlife conservationist. Dr Leakey alizaliwa Kenya enzi za ukoloni na hata kujua mila za wakenya.
Screenshot_20220110-035044.jpg
 
Back
Top Bottom