Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Mkuu wa majeshi aliyeongoza kipindi cha vita ya uganda sio msuguri ni abdallah twalipo,, nimepita tu kuweka sawa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa majeshi aliyeongoza kipindi cha vita ya uganda sio msuguri ni abdallah twalipo,, nimepita tu kuweka sawa hapa
Namkumbuka nimrod mkono
Yaa ni Iringa kitambo kidogoNadhani Ni iringa stand
Wenye pasi hizi enzi hizo walingia uingereza bila wasi
Nilikuwa nakubali sana movie zake...Sidney poitier mwigizaji kutoka marekani ambaye jana katangulia mbele za haki.mwigizaji mweusi wa kwanza kupewa tuzo ya OscarView attachment 2073222
Uchaguzi wa Mwaka gani huo,,,
Namuona hayati Magu, hao wengine n akina naniKiukweli hii suti ya mkuu inachekesha ndio maana Idris alichekaView attachment 1457207
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakua enzi ya kina Chinyama Chianza, Kawelee Mutimwana, Mutombo Lufumbula, Lulembo Lufumbula, Kasoloo Kyanga na Kyanga Asonga