JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Tanganyika
....................
tanganyi germanic colony of east africa souvenir: Total station, barabara ya kwenda temeke dar es salam mwaka 1974 na gari 404 Familial.HV2
FB_IMG_1699260550690.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengo hili la kwanza kabisa la mahakama kuu tanzania linadaiwa kujengwa na mkoloni wa kingereza kabla hata ya uhuru,

Baada ya uhuru ndipo ilipowekwa hiyo nembo hapo, kwasasa inadaiwa halitumiki, yanayotumika ni majengo mapya

JE KUNA UKWELI HAPO?
FB_IMG_1699404751437.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli tumetoka mbali. Hiyo picha ni miaka ya 1980-85 jijini Dar es salaam. Kwa heshima na taadhima na utii bila shuruti, mwache kamanda avuke kwanza. Naona hapo kuna Peugeot 404 Pick up hilo gari jingine silijui mtanisaidia. Kule nyuma naona kuna Malori ya KAUDO na KAUMU na matela yao ng'ambo ya barabara. Karibu sana.
FB_IMG_1699761771920.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni Askari monument maeneo ya posta miaka ya themanini 80, mpiga picha alikuwa upande huu huku wa jengo la IPS. Mbele naona Peugeot 403, Jengo la Benki ya nyumba Tanzania kama linavyosomeka na kushoto kule ni jengo la NBC.
FB_IMG_1699774724960.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizo, huku kuna basi la Hood kule kuna basi la Islam la Morogoro kwenda Arusha na zote hizi zilianzia na namba TZP, Ukiangalia vizuri utagundua kwamba muundaji wa bodi za mabasi haya ni huyo huyo mmoja sababu yanafanana kila kitu. View attachment 2811920View attachment 2811921

Sent using Jamii Forums mobile app
Scania ni gari sio hizi za kichina miaka 4 Kwisha habari.nakumbuka unatoka na scania Mbeya-Arusha via chalinze ngoma inafika bila kuzimwa engine Wala spana.
 
Leo nimekutana na chogo ikanikumbusha mbali sana. Home wazee waliinunua nikiwa darasa la nne, kwa wenge na furaha mpaka nikavunja mkono[emoji41].

Kabla ya hapo ni wazee watatu tu walikuwa nayo kijijini, kwa mzee mmoja ilibidi tufanye kazi nyumbani kwake kwa muda fulani ndipo tupate fursa ya kuangalia mieleka, we did it wholeheartedly.[emoji41]

Gone are the days [emoji27]!
20231114_071115.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimekutana na chogo ikanikumbusha mbali sana. Home wazee waliinunua nikiwa darasa la nne, kwa wenge na furaha mpaka nikavunja mkono[emoji41].

Kabla ya hapo ni wazee watatu tu walikuwa nayo kijijini, kwa mzee mmoja ilibidi tufanye kazi nyumbani kwake kwa muda fulani ndipo tupate fursa ya kuangalia mieleka, we did it wholeheartedly.[emoji41]

Gone are the days [emoji27]!View attachment 2813165

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inakimbia sana Mshana Jr Sikuhizi wale jamaa wa kupinga picha mitaani hawapo Tena.
 
Back
Top Bottom