JF special thread kwaajili ya Facts

Kuna hawa wazee old clubs ndio wanaofanya africa inakua backward maana wanatawala milele na kuiba, tukiwanikiwa kuwaondoa basi Africa itakua ya kizazi kipya and we can make Adrica great again๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Exactly, lakini shida ni kuwatoa coz wao ndio kusema. Many young Africans are just afraid or reluctant of resistance that's why changes are taking time in our beautiful continent. The likes of kina M7 wanajifanya wanajua sababu wamezeeka, wanahatarisha development of most African nations.
 
Kuna uwezo mwingine ata Mungu hawezi kubali kutupatia. Moja wapo ni hayo sasa! Imagine sayari yote almasi, yaani kuchimba tu na kutuma down, duh
Tutauana lakini bado dunia inaendelea kiteknolojia zaidi huenda mbeleni tukaweza maana hata miaka hyo hatukuweza kujua kama kuna planets zipo huko juu wala kujua ipo siku tutafika kwenye mwezi
 
Tulikosea wapi jamani? ๐Ÿ˜‚ Yaani hata SA na mali yote hawajaribu angalau watuweke kwenye vitabu, Afrika hii. Tunakula kwa macho tu, tukingoja vya bure ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tulikosea wapi jamani? [emoji23] Yaani hata SA na mali yote hawajaribu angalau watuweke kwenye vitabu, Afrika hii. Tunakula kwa macho tu, tukingoja vya bure [emoji23][emoji23][emoji23]
Babu yangu alikuwa na msemo wake unanichekesha[emoji1787]

"Waafrica tumekuja duniani kufanya vurugu "

Yaani kusumbua watu tu hakuna tunachoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ