Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Uki graduate kule, ukitoka nje, hata konokono ni mtamu kwako! π€£[emoji23][emoji23][emoji23]dona la jela acha tu
Hadi sasa jibu ni Yes ngoja tuone mbeleni huenda mambo yakabadilika kama waligundua maji kwenye moon (lunar ice) basi hata ilo linawezekana
For sure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Here in Africa, we don't even want to know! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tunajua kbs hutaki ila ss wasomaji wa jf tunakupa umiliki wa hili jukwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kama mataga walivyopeleka hoja bungeni ya kumuongezea jiwe muda wa maongeziBasi mimi naomba tumuachie mleta uzi hatimiliki ya uzi wake, tubaki kama wachangiaji
Hata ikifika hiyo siku, ka itafika. Labda watume vyombo pekee huko sio watu. Hakuna watu watakaokubali hayo π€£π€£π€£ yaani hapa pluto tayari tena ni miaka sijui mingapiTutauana lakini bado dunia inaendelea kiteknolojia zaidi huenda mbeleni tukaweza maana hata miaka hyo hatukuweza kujua kama kuna planets zipo huko juu wala kujua ipo siku tutafika kwenye mwezi
Hahaha nashukuru mkuu ila usinitajie mwrndazake kabisa, nahisi kupaliwa ujueπTunajua kbs hutaki ila ss wasomaji wa jf tunakupa umiliki wa hili jukwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kama mataga walivyopeleka hoja bungeni ya kumuongezea jiwe muda wa maongezi
π π πBabu yangu alikuwa na msemo wake unanichekesha[emoji1787]
"Waafrica tumekuja duniani kufanya vurugu "
Yaani kusumbua watu tu hakuna tunachoweza
Kama umevurugwa halafu kuna mkwanja ukienda na kurudi mbona volenteur watakuwepo tu [emoji3]Hata ikifika hiyo siku, ka itafika. Labda watume vyombo pekee huko sio watu. Hakuna watu watakaokubali hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hapa pluto tayari tena ni miaka sijui mingapi
Utaambiwa unavuta bhagi bure hata ka waamini πFor sure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu wakisikia jina la jamaa wanahisi kufakufa [emoji23],imagine mtu aliekuwa amebakiza miaka 2 astaafu halafu anakuja kufukuzwa kazi na kuambiwa miaka yote hiyo aliyoitumikia serikali alikuwa na cheti feki ni maumivu kiasi gani anapata?[emoji22]Hahaha nashukuru mkuu ila usinitajie mwrndazake kabisa, nahisi kupaliwa ujue[emoji28]
Wewe waeza kubali, ata ulipwe nn. Astronauts watawacha kazi ka ni hivyo π€£π€£π€£ yaani utoke duniani uende pahali hujui utafika au utarudi lini, kudadadeki π€£π€£π€£π€£Kama umevurugwa halafu kuna mkwanja ukienda na kurudi mbona volenteur watakuwepo tu [emoji3]
Hata hivyo astronout wataenda si ndio kazi zao
Kweli kabisa, hakikisha unaoga na maji baridi ile alfajiri. Utachangamka siku nzima! π€£Kuamka alfajiri na kujiandaa ipasavyo kwa ajili ya siku yenye mafanikio husaidia kuwa na amani ya akili na moyo kuliko kuamka umechelewa ambapo utafanya kila kitu kwa pupa hivyo kusababisha mkazo (stress)
Kweli kabisa, hakikisha unaoga na maji baridi ile alfajiri. Utachangamka siku nzima! π€£
Hapo moyo hupiga faster sana, jicho lakutoka ka mwehu, akitoka bafuni uko freshi kabisa! π€£πππππkabisaa maana unashtua kila kilicholala.
Hapo moyo hupiga faster sana, jicho lakutoka ka mwehu, akitoka bafuni uko freshi kabisa! π€£
Haha, 001 ndio code βοΈhahaha eti upata ball hahahaha wee mzeya ya nairobi nini?
Ndio raha ya kule sasa, lakini wee! ππΎila totoz za kule ni hatari jamani na wanavyopendsa kugegedana hadi raha.