BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 980
- 2,679
- Thread starter
-
- #1,721
*Miaka ya nyuma watu walikuwa wanatumia kipande cha mkate kama kifutio cha penseli lakini mwaka 1770 Edward Naine alichanganya badala ya kuchukua kipande cha mkate kufuta alichukua rubber ambapo aligundua kipande cha rubber kinafua vizuri zaidi kuliko mkate, ndipo matumizi ya rubber kama kifutio cha penseli yakaibuka mpaka leo hii.
Oh!! sijapitia post zote za juu, mtakuwa mmesha maliza facts zote sasa[emoji23]Hii alituletea Youngblood
Hazijaisha bado zipo nyingi sana sema mkuu unapotea sana mpaka watu wanataka kunizawadia uziOh!! sijapitia post zote za juu, mtakuwa mmesha maliza facts zote sasa[emoji23]
Aisee wee uko na speed ya 5G+, mi nabanwa sana lakini tutakwenda sawa tuu.Hazijaisha bado zipo nyingi sana sema mkuu unapotea sana mpaka watu wanataka kunizawadia uzi
Sawa mkuu, twende sawa ilimradi uzi usifeAisee wee uko na speed ya 5G+, mi nabanwa sana lakini tutakwenda sawa tuu.
Labda kama hicho kidole sio part of your body🤣Baadhi ya bakteria wanaweza kuishi kwa joto la juu kuliko 100 ° C kwa kina kirefu baharini ambapo maji hayachemki kwa sababu ya shinikizo kubwa.la pressure.
Je unaweza kuingiza kidole kwenye maji yenye jotoridi centgredi 100°c ? [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda kama hicho kidole sio part of your body[emoji1787]
Tuko pamoja...Sawa mkuu, twende sawa ilimradi uzi usife
Mhm hawa sasa wanatudanganyaJellyfish or jellies as scientist call them,are not fish.They hav no brain no heart and no bones.
😂 😂 😂Oh!! sijapitia post zote za juu, mtakuwa mmesha maliza facts zote sasa[emoji23]
Duuh wanaishi vipiJellyfish or jellies as scientist call them,are not fish.They hav no brain no heart and no bones.
Hivyo tu, lakini ni hatari wakikupasha.Duuh wanaishi vipi