tatizo vijana wenyewe wa kiafrica waoga wakufaKuna hawa wazee old clubs ndio wanaofanya africa inakua backward maana wanatawala milele na kuiba, tukiwanikiwa kuwaondoa basi Africa itakua ya kizazi kipya and we can make Adrica great again😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo vijana wenyewe wa kiafrica waoga wakufaKuna hawa wazee old clubs ndio wanaofanya africa inakua backward maana wanatawala milele na kuiba, tukiwanikiwa kuwaondoa basi Africa itakua ya kizazi kipya and we can make Adrica great again😆😆
?Are we alone in universe ?
Kuolewa tena😅Hapo sasa kuolewa nje nje
Shida ndio inapoanziatatizo vijana wenyewe wa kiafrica waoga wakufa
Vijana wenyewe kama Hamis unategemea ninitatizo vijana wenyewe wa kiafrica waoga wakufa
Au polepoleVijana wenyewe kama Hamis unategemea nini
[emoji23][emoji23][emoji23]dona la jela acha tuKuolewa tena[emoji28]
Exactly, lakini shida ni kuwatoa coz wao ndio kusema. Many young Africans are just afraid or reluctant of resistance that's why changes are taking time in our beautiful continent. The likes of kina M7 wanajifanya wanajua sababu wamezeeka, wanahatarisha development of most African nations.Kuna hawa wazee old clubs ndio wanaofanya africa inakua backward maana wanatawala milele na kuiba, tukiwanikiwa kuwaondoa basi Africa itakua ya kizazi kipya and we can make Adrica great again😆😆
HahahaHuu uzi tunaomba Abrianna ndio awe mmiliki wake
The owner 'Johnman', where's he at? 🤣🤣🤣Huu uzi tunaomba Abrianna ndio awe mmiliki wake
😂 😂 😂 Na mchemsho wa majogoo 🤮Imagine mtu amebaka mtoto wako halafu amefungwa, nampelekea chura wa kuchemsha kila siku😆
Tutauana lakini bado dunia inaendelea kiteknolojia zaidi huenda mbeleni tukaweza maana hata miaka hyo hatukuweza kujua kama kuna planets zipo huko juu wala kujua ipo siku tutafika kwenye mweziKuna uwezo mwingine ata Mungu hawezi kubali kutupatia. Moja wapo ni hayo sasa! Imagine sayari yote almasi, yaani kuchimba tu na kutuma down, duh
Tulikosea wapi jamani? 😂 Yaani hata SA na mali yote hawajaribu angalau watuweke kwenye vitabu, Afrika hii. Tunakula kwa macho tu, tukingoja vya bure 😂😂😂Waafrika tungeangalia tu mfano kama mwezi tayari wamesha establish ma colonies.na kuna sehemu nchi husika wame establish ma research facilities yao
Na ktk mkakati wa hizi.nchi zilizofika.kwenye mwezi ni kutengeza base kwa ajili ya firms Ili kufanya human moon-travelling tourism
Hajaingia mitini ila ww naona ndio umelitawala hili jukwaaa [emoji23][emoji23]Mleta uzi ameingia mitini kabisa mkuu
Here in Africa, we don't even want to know! 🤣 🤣 🤣
Babu yangu alikuwa na msemo wake unanichekesha[emoji1787]Tulikosea wapi jamani? [emoji23] Yaani hata SA na mali yote hawajaribu angalau watuweke kwenye vitabu, Afrika hii. Tunakula kwa macho tu, tukingoja vya bure [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mimi naomba tumuachie mleta uzi hatimiliki ya uzi wake, tubaki kama wachangiajiHajaingia mitini ila ww naona ndio umelitawala hili jukwaaa [emoji23][emoji23]