Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Heshima kwako baba, za siku?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Dah mbona graph inazidi kupanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwako baba, za siku?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Dah mbona graph inazidi kupanda?
Mmmh, kwakuwa kawa demu wako ndo mana unamponda, mmmh wanaume nyieAmini nakuambia mkuu Mshana Jr, 90% waliomo jf ndio hao hao wapo fb, badoo, inst, twit na kwingineko, tena wanatamani sana mambo ya huko wayalete huku sema kwa kua tuna Id fake wanaogopa kujulikana,
Kuna wa3 humu nawajua wa2 rafiki wa kitaa, na mwingine ashawahi kua demu wangu (nilijuana nae fb tunampigia kampeni Lowasa, na nilijua yupo humu baada ya kua na mahusiano nae) na kati yao mmoja maarufu sana humu, ila ukiona Mbwembwe zao fb na ista hutaamini kama nia wao.
Si kaongea ukweli,kwani kusema ukweli anaoujua ni kuponda?Mmmh, kwakuwa kawa demu wako ndo mana unamponda, mmmh wanaume nyie
Eti kabisa anajisifia upuuzi! Sio mzima huyuYaan siondoki jf mie khaa!!
Yaan kanivunja mbavu
Roho imeuma tuUmeona wivu?
Sasa mi nataka nije pm nikutongozeNot real, just shared the experience...
Siongei na wewe tenaSasa mi nataka nije pm nikutongoze
Mi mwenyewe siongei nawe tena...Siongei na wewe tena
Kitulize! ¡Sasa mi nataka nije pm nikutongoze
Ngoja nikulogeMi mwenyewe siongei nawe tena...
Sio kwa kunichunia huko jamani
Ya faa uende hm kabisa mkamalize na si pm.Sasa mi nataka nije pm nikutongoze
Ila ukumbuke kuwa jins unavo endaga kuyaona maluweluwe kule kwenye mitandao na wao huwa wapo hukohuko, huenda ni miongon mwa wale ambao huwa unawaona wapo humu.Umeandika vizur kaka, tokea nijiunge jf kiukweli sijaona maluweluwe km yaliyopo kweny mitandao ile[emoji117][emoji117][emoji117], by the way tunawapenda sana Dada zetu mliopo humu maana mnatufanya tutembee kifua mbele wanaumme tuliopo humu ! Happy new all of u!
Sifikirii ivoIla ukumbuke kuwa jins unavo endaga kuyaona maluweluwe kule kwenye mitandao na wao huwa wapo hukohuko, huenda ni miongon mwa wale ambao huwa unawaona wapo humu.
Ikiwa niwatulivu kweli bc inapendza.Sifikirii ivo
Samboko naona wanaume wenzangu wengi hawajanielewa.... Na wengine wakaenda mbali hata kunitusi.. Hakuna niliposema hawa wanawake ni walokole.. Hakuna! Nilichosema ni kwamba wanajitambua... Kujitambua ni kujua wewe ni nani uko wapi unafanya nini na kwaniniAmini nakuambia mkuu Mshana Jr, 90% waliomo jf ndio hao hao wapo fb, badoo, inst, twit na kwingineko, tena wanatamani sana mambo ya huko wayalete huku sema kwa kua tuna Id fake wanaogopa kujulikana,
Kuna wa3 humu nawajua wa2 rafiki wa kitaa, na mwingine ashawahi kua demu wangu (nilijuana nae fb tunampigia kampeni Lowasa, na nilijua yupo humu baada ya kua na mahusiano nae) na kati yao mmoja maarufu sana humu, ila ukiona Mbwembwe zao fb na ista hutaamini kama nia wao.
sasa je !Kumbe mate wangu kabisa!!
Nadhani kuongea matusi has a viungo vya siri inapunguza hadhi na ubinadamu Wa mhusika ndio maana wale greatest thinkers like Sky Ecla t hajacomment tusi yangu aanze ,likewise Mbitiyaza . Lakini mama Sabrina una jazba bibie,. Lakini labda nisi kunogesha soga humu jf. Hivi humu ukitumia tafsida in aduwa mshamba? Anyway I think you mean with a light touch..?