Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
MMMMMMMMMMMMMMHHHHHHH@mahondah ni fala mmoja hivi wa Joseverest...hizi ni ID zilizotukuta watoto wa JF halafu zikapewa shavu...kamuulize Inspector Peter wa Cyber crime pale kituo kikuu cha polisi.
KUNA UKWELI FULANI HAPAThis may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....
Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana.. Kuna urembo na kuna Uzuri.... Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo... Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea... Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa...
Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote... Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe... Huu ni uzuri kulingana na mazoea.. Kwingine vigezo sio hivi... Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla...... This is the real beauty....!!!
Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0... Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..
Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF... [emoji770] [emoji770] [emoji770]
beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu... There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii.. La sivyo unapaswa kuombewa.... JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness... I adore them all.....
We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....
Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana
Jr[emoji769]
..wengine wanaogopa kujulikana sababu ya ID fakeThis may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....

Ndio kwani tusimpe[emoji12]Utapata Like 100 leo!
[emoji23] [emoji23]Leo mshana jr watoto wote wako!
Salama baba angu,Nzuri J za mwaka mpya?
Haya kakaSi kaongea ukweli,kwani kusema ukweli anaoujua ni kuponda?
Mi mwenyewe mlogajiNgoja nikuloge
Home atanibakaYa faa uende hm kabisa mkamalize na si pm.
Hapana maandaliz kabla yaHome atanibaka
Hivi wewe unatoaga wapi lakini
Huku wanawake wengi ni smart kuwa fb au insta haimaanishi wewe ni muhuni ila jinsi utakavyoitumia account yako kuonesha upuuz wako ndio kunaonesha akili yako ni kiasi gani kuna watu kwenye sociasocial net zingine pia wenye akili timamu anaongea vitu vya hekima sio kujianika kama kikahaba ila %kubwa wanawake wa jf ni smart zaidi au Twitter mitandao hii haijakaa kijingaDuh kwa hli nahc npo against na ww mkuu cz hawa hawa (fake id) tulionao uku ni wale wale waliopo kule, sema mods wamebana upuuzi mwng.
Japo siyo wote ila baadh yao n wale wale si me/ke.
Narudia tena mke/mme mwema ni pale ulipombahatisha maana watu wana fake life hatar na siyo vngnevo
Asnte saaaana mshanaThis may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....