JF: The only place you can meet real beautiful women

This may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....

Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana.. Kuna urembo na kuna Uzuri.... Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo... Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea... Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa...

Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote... Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe... Huu ni uzuri kulingana na mazoea.. Kwingine vigezo sio hivi... Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla...... This is the real beauty....!!!

Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0... Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..

Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF... [emoji770] [emoji770] [emoji770]

beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu... There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii.. La sivyo unapaswa kuombewa.... JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness... I adore them all.....

We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....

Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana

Jr[emoji769]
KUNA UKWELI FULANI HAPA
 
Humu kuna vibungo hatari vinavyojua kutumia smartphone! Na wengine ni wanawake waliozeeka wale wa kwny 35-60 na kuendelea!! Ni vikongwe hatari!
 
..wengine wanaogopa kujulikana sababu ya ID fake
 
IMG-20180204-WA0125.jpg
 
Duh kwa hli nahc npo against na ww mkuu cz hawa hawa (fake id) tulionao uku ni wale wale waliopo kule, sema mods wamebana upuuzi mwng.
Japo siyo wote ila baadh yao n wale wale si me/ke.
Narudia tena mke/mme mwema ni pale ulipombahatisha maana watu wana fake life hatar na siyo vngnevo
Huku wanawake wengi ni smart kuwa fb au insta haimaanishi wewe ni muhuni ila jinsi utakavyoitumia account yako kuonesha upuuz wako ndio kunaonesha akili yako ni kiasi gani kuna watu kwenye sociasocial net zingine pia wenye akili timamu anaongea vitu vya hekima sio kujianika kama kikahaba ila %kubwa wanawake wa jf ni smart zaidi au Twitter mitandao hii haijakaa kijinga
 
This may be too real to be true to you... But that's the reality! Take it from me....

Ngoja niandike tu kibantu! Uzuri una tafsiri pana.. Kuna urembo na kuna Uzuri.... Mwananke anaweza kuwa mrembo lakini asiwe mzuri na mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini asiwe mrembo... Uzuri ni kitu cha asili lakini urembo ni kitu cha ziada cha kuongezea... Uzuri hauuzwi ila urembo unauzwa...

Jamii forums ina wanawake wazuri na warembo pia pengine kuliko mtandao mwingine wowote... Usichukulie uzuri kwa tafsiri yako ya macho makubwa legevu, mashavu na lips nene, kifua mwiba, kiuno nyigu, mguu chupa ya bia na tako nundu ya ng'ombe... Huu ni uzuri kulingana na mazoea.. Kwingine vigezo sio hivi... Nazungumzia uzuri wa roho... Na upstairs kwenye medulla...... This is the real beauty....!!!

Huko kwingine kuna wazuri na warembo kweli lakini roho zao ni chafu kuliko banda la kitimoto na upstairs ni sifuri kwenda negative 0... Ndio maana kule kazi ni moja tu mapicha wakiwa bafuni, mapicha wakila vya ofa, mapicha na nguo cm ama magari ya kuazima..

Hawana cha maana cha kupost zaidi ya picha za makalio na fake life, umbea vijembe kutambiana na sifa za kijinga.... UPUUZI HUU HUWEZI UKUTA HAPA JF... [emoji770] [emoji770] [emoji770]

beauty without brains! Tabia chafu, roho mbaya chafu. Akili chafu... There is no prettiness in there.. There is no beauty in there... Huwezi kujivunia kiumbe wa namna hii.. La sivyo unapaswa kuombewa.... JF ni sehemu tofauti kabisa, JF can mould you from ugliness to prettiness, JF can shape you from bad looking to a wonderful beauty.... JF woman are wonderful with beauty and pettiness... I adore them all.....

We are yet in another year... Changamoto zetu hazitakoma.. Ups n downs zitakuwepo... Wadanganyifu na matapeli wa ndoa wataongeza... But all in all atakayefanikiwa kupata mke JF amepata mke mwema.....

Long live JF flowers...!!!! Ladies with beauty and brains...
Nawapenda sana

Jr[emoji769]
Asnte saaaana mshana
 
Back
Top Bottom