RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ewaaaaa
Leeo uchawi wangu umekuzidi aki... Hebu ukuje pande za Muheza kwa ungo
Uko wapi niambie una dompo lako la barrrrrrdi sana
Mbinu yako imeanza kuzaa matunda.....🙂🙂🙂Daaaah
Leo ni furahidei eeeehhh
Kaka mshana ujue nakutafuta siku nyingi unazingua aki
Huyu mimi nimemfukuzia mwaka mzima ananizingua, wewe leo umerusha thread moja tu anakuita mwenyewe...wacha nipambane na hali yangu!🙁🙁🙁