Ewaaaaa
Leeo uchawi wangu umekuzidi aki... Hebu ukuje pande za Muheza kwa ungo
Uko wapi niambie una dompo lako la barrrrrrdi sana
Mbinu yako imeanza kuzaa matunda.....πππDaaaah
Leo ni furahidei eeeehhh
Kaka mshana ujue nakutafuta siku nyingi unazingua aki
Mshana sio mzeemshana baby.napenda sana wazee.
KiranjaKuna watu watatokwa povu hapa kuona tumesifiwaa ila ukweli ndio huo
Hapana kabisa... Mimi sio bazazi halafu nawaheshimu sana.. Wote niliokutana nao ni kwa ajili ya issues.. Kama kuna niliyemtafuna hata kwa bahati mbaya ajitokeze.. Nitaomba radhi
Hahahahahahahhhhh.....heri ya mwaka mpyaAsante Mr Mshana kwa kutukumbuka lkn unaweza kuta waliopo huko kwingine ndo waliomo humu, ID fake ujue
Lakini asante sana maana doh umetupamba tumepambika sio wenzio kutwa kutunanga
Hapo sawaTatua Magoroto kisha tatembea kwa miguu mpaka misozwe.. Tukutane kicheba
Hivi mimi ndo nakuzingua au ni wewe my dear!!; nikumbushe hebu!!Mbinu yako imeanza kuzaa matunda.....πππ
Huyu mimi nimemfukuzia mwaka mzima ananizingua, wewe leo umerusha thread moja tu anakuita mwenyewe...wacha nipambane na hali yangu!πππ
Kutoa bure ni vibayaWaliopo humu jf ndio waliopo mitandao mingine, siamini sana katika hiyo notion kwamba wadada wa jf pekee wana uzuri wa nafsi.
Ninachoamini, humu utakutana na kila aina za tabia, wapo wauzaji, wanunuzi, watoa bure, wastaarabu na kila aina ya tabia.
BTW: Watu hupenda kusoma mazingira, huenda wengi tunabadilika kutokana na mazingira tunayokutana nayo jf.
HabariWaliopo humu jf ndio waliopo mitandao mingine, siamini sana katika hiyo notion kwamba wadada wa jf pekee wana uzuri wa nafsi.
Ninachoamini, humu utakutana na kila aina za tabia, wapo wauzaji, wanunuzi, watoa bure, wastaarabu na kila aina ya tabia.
BTW: Watu hupenda kusoma mazingira, huenda wengi tunabadilika kutokana na mazingira tunayokutana nayo jf.
RRONDO niko kwenye ile bar iliyokosa viwango nacheka pekeyangu naonekana chizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbinu yako imeanza kuzaa matunda.....πππ
Huyu mimi nimemfukuzia mwaka mzima ananizingua, wewe leo umerusha thread moja tu anakuita mwenyewe...wacha nipambane na hali yangu!πππ