JF True Life Stories: Unaikubali ipi kati ya hizi?

@joohs ni pekee niliyofatilia.
Mimi mastori ya hivo hata sisomagi.
Ila joohs niliifatilia sana.
Nafikiri nishakuwa shabiki wake.

Jana alitoa uzi akielezea jinsi alivyoshika 5 millions na kujiona yeye ndo yeye.
Nilicheka sana.
Mwenyewe hadi nisome story za hivyo ni mara chache sana..ila hao ndiyo moja ya story nilizifatilia hadi mwisho.
Halafu hiyo ya Joo.. ya jana mbona sijaiyona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka hiyo ya 5 ..inaitwaje huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwenye orodha umesahau ile story ya yule dada aliye tupeleka Kilimanjaro kwa mtazamo wangu inastahili kupewa nafasi muhimu hapa
 
Hebu ziweke ziweke hapa mkuu tuzipitie na wengine

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…