Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe hadi nisome story za hivyo ni mara chache sana..ila hao ndiyo moja ya story nilizifatilia hadi mwisho.@joohs ni pekee niliyofatilia.
Mimi mastori ya hivo hata sisomagi.
Ila joohs niliifatilia sana.
Nafikiri nishakuwa shabiki wake.
Jana alitoa uzi akielezea jinsi alivyoshika 5 millions na kujiona yeye ndo yeye.
Nilicheka sana.
Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembeMwenyewe hadi nisome story za hivyo ni mara chache sana..ila hao ndiyo moja ya story nilizifatilia hadi mwisho.
Halafu hiyo ya Joo.. ya jana mbona sijaiyona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Dear..Aliitupia jukwaa la uchumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe
Njooo nikusomee usikuu tukiwa tumelalaDuuuh!! Zote hakuna hata nilosoma[emoji134]
Ushazeeka, unatakiwa ulale na mkeo sasa sio mama yako. Hebu fanya fasta nahitaji wajukuu.Njooo nikusomee usikuu tukiwa tumelala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha hizooUshazeeka, unatakiwa ulale na mkeo sasa sio mama yako. Hebe fanya fasta nahitaji wajukuu.
Nataka hiyo ya 5 ..inaitwaje hukuJf ni ulimwengu murua sana, una kila aina ya real life time experiencies, yani ukiwa humu unakuwa ni kama unaiona dunia na yanayoendelea ndani mwake.
Kuna true stories kadhaa zimeletwa na wadau humu jf, ni true stories zenye utamu na msisimuko wa hali ya juu. Ni stori ambazo zitakufurahisha na kukupa fundisho pia.
Baadhi ya simulizi kali ni hizi hapa:
1. Ya kwanza ni ya member anaitwa KigaKoyo, hii ni ya mapenzi, ilianzia kwenye uzi wa kula tunda kimasihara. Baada ya kuvutia wasomaji ikabidi iunganishwe itengenezewe uzi kabisa ambao ameupost JBourne59.
2. Ya pili ni ya member anaitwa jooohs. Hii ni ya mambo ya giza. Jamaa baada ya maisha kuwa magumu ilibidi ajaribu upande wa pili wa shilingi lakini alichokutana nacho......
3. Ya tatu na ambayo bado haijakamilika ni ya member anaitwa jerrybanks ambayo pia inahusu mambo ya nguvu za giza. Hii sasa ndio fungamwaka maana ni mkasa unaosisimua mnoo. Huu mkasa unapatikana kwenye uzi wa "kama ulishawahi kushuhudia nguvu za giza live". Kama bado hujaupitia kaupitie huu mkasa hutojutia muda wako.
4. Ya nne ni ya mtukutu Analyse. Huyu jamaa toka azaliwe ni mtukutu mnoo, toka kuangusha kondomu mbele ya darasa mpaka kufukuzwa seminari kwa kuiba nguruwe[emoji851]. Kaipitie hautojutia.
5. Ya tano ni ya mtu mzima Bossless. Jamaa aliyeshuhudia live vita ya kikabila ya Rwanda iloyosababisha mauaji ya halaiki. Inatisha lkn kuna mengi ya kujifunza
Najua hii mikasa imesomwa na watu wengi sana maana ni nyuzi zenye views 40K+ na comments 2K+. Je ipi kati ya hizo true life stories imetisha zaidi?
Mkuu kwenye orodha umesahau ile story ya yule dada aliye tupeleka Kilimanjaro kwa mtazamo wangu inastahili kupewa nafasi muhimu hapaJf ni ulimwengu murua sana, una kila aina ya real life time experiencies, yani ukiwa humu unakuwa ni kama unaiona dunia na yanayoendelea ndani mwake.
Kuna true stories kadhaa zimeletwa na wadau humu jf, ni true stories zenye utamu na msisimuko wa hali ya juu. Ni stori ambazo zitakufurahisha na kukupa fundisho pia.
Baadhi ya simulizi kali ni hizi hapa:
1. Ya kwanza ni ya member anaitwa KigaKoyo, hii ni ya mapenzi, ilianzia kwenye uzi wa kula tunda kimasihara. Baada ya kuvutia wasomaji ikabidi iunganishwe itengenezewe uzi kabisa ambao ameupost JBourne59.
2. Ya pili ni ya member anaitwa jooohs. Hii ni ya mambo ya giza. Jamaa baada ya maisha kuwa magumu ilibidi ajaribu upande wa pili wa shilingi lakini alichokutana nacho......
3. Ya tatu na ambayo bado haijakamilika ni ya member anaitwa jerrybanks ambayo pia inahusu mambo ya nguvu za giza. Hii sasa ndio fungamwaka maana ni mkasa unaosisimua mnoo. Huu mkasa unapatikana kwenye uzi wa "kama ulishawahi kushuhudia nguvu za giza live". Kama bado hujaupitia kaupitie huu mkasa hutojutia muda wako.
4. Ya nne ni ya mtukutu Analyse. Huyu jamaa toka azaliwe ni mtukutu mnoo, toka kuangusha kondomu mbele ya darasa mpaka kufukuzwa seminari kwa kuiba nguruwe[emoji851]. Kaipitie hautojutia.
5. Ya tano ni ya mtu mzima Bossless. Jamaa aliyeshuhudia live vita ya kikabila ya Rwanda iloyosababisha mauaji ya halaiki. Inatisha lkn kuna mengi ya kujifunza
Najua hii mikasa imesomwa na watu wengi sana maana ni nyuzi zenye views 40K+ na comments 2K+. Je ipi kati ya hizo true life stories imetisha zaidi?
naomba unitag sikuisoma hii mkuuMimi naikubali ya Analyse
na ile ya katoto kazuri je?Hakuna inayoifika ile ya cutelove kupewa 7800 [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ziweke ziweke hapa mkuu tuzipitie na wengineJerrybank ni muongo hua anatunga visa, Mtoe kabisa. Kisa nachokipenda ni cha mkuu Analyse kina motivation kubwa.
Kwa mkuu kigakoyo stori yake ndani kama unasoma between lines utaona kuna Fasihi/utunzi pia.
Lakini pia stori ya mzee wa bao 23 Jbourne69 iko poa sana unahisi upo Enzi hizo za 70s.