**JF Udaku Exclusive**: Kauli ya wapigwe tu ilianzia Jamiiforums

Mmmmmh,
Mie nyumba ya udongo sihimili vishindo.
 
kupigwa wapi babav...?
 
Last edited by a moderator:
Nina video ya Mheshimiwa Prime Minista akisema utapigwa tu,,, narudiaga haka kavideo kila siku, utapigwa tu hahaha
 
Mkuu TANMO,wagema ulimbo inabidi wapigwe tu,kwa kuwa ukicheza na mbwa utaingia naye msikitini.akileta masikhara unamkata makofi.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…