JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

Hivi amesema perfume?
Wewe Lady doctor ina maana ulikimbia na ile perfume tangu tuko chuo ilipotea semista ya 9 katika mazingira ya utata?
Au ni 'Valentina' alikupa maana nakumbuka chumbani kwangu ulikuja mara 2 kuchukua desa

kumbe na we hujaachaga usahaulifu, yaani tangu zamani we ni kusahau tu...... Sa ngoja nikukumbushe.... Ni hiviii ile perfume ulininunulia ukampa 'Valentina' aniletee 'Valentina' naehakuifikisha kwangu hadi alipofumwa na bwana ake ndio anajidai kuniletea.......!
 
Last edited by a moderator:

hahahahahaaa....... Mwanyasi ghwabhomba! Ulimkafu? Hahaha nimemiss kindali wallah vilee.... Tujipange twende tena!!!

Cc: Baba V
 
Last edited by a moderator:

jaman kumbe mme wang ndo anahuska na hi kes?
 
Last edited by a moderator:
We Mtoto halali na hela jumamosi tukunane pale aghakan tupime DNA (banjuka tu .....) za huyo mtoto na mke wangu janeth! huwa sipendi nadharia mimi, na ukisingizia mabwepande itakuhusu.

huko mabwepande ndio nafungua na kufunga gate siku hizi, hapo kwa DNA umenena ila hospital tutabadili hukawii kutoa hongo ili ionekane mwanao ni wako. Asiye na mwana....
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaa....... Mwanyasi mwambhomba! Ulimkafu? Hahaha nimemiss kindali wallah vilee.... Tujipange twende tena!!!

Cc: Baba V

sio mwambhomba jaman ivo lnakua 2si usseme tena. Unatakiwa kusema ghwabhomba/mwabhomba.
 
Last edited by a moderator:
sio mwambhomba jaman ivo lnakua 2si usseme tena. Unatakiwa kusema ghwabhomba/mwabhomba.

uuuwiii....... Kumbe nimetukana ngoja nirekebishe fasta looh lugha za watu mzigo...... Munifundishage taratibu...... PANANDI!
 
hahahaa kama ndo bnam kwel mna kamchezo kachafu hyo ni ktk ya nn? Mmmh naibiwa naona siamin kama mme wang ndo alkupa pafyum.

hapana iyo perfume ni ya enzi zilee wakati tupo chuo na Mwanyasi sasa hakuna huo mchezo sema tu huwa anawaletea 'ankali' zake zawadi ya perfume
 
Last edited by a moderator:
uuuwiii....... Kumbe nimetukana ngoja nirekebishe fasta looh lugha za watu mzigo...... Munifundishage taratibu...... PANANDI!

ucjali mamito mwanzo mgum but uko juu hunymwi maj ukfka kwe2.
 
hapana iyo perfume ni ya enzi zilee wakati tupo chuo na Mwanyasi sasa hakuna huo mchezo sema tu huwa anawaletea 'ankali' zake zawadi ya perfume

mmh bas dear wang ana upendo wa agape, kwann hawaletei vtabu???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…