mwenzio mme wang sku hz nadhana kajiunga na chuo cha siasa kmyakmya cjui kko wap hcho make nataka nimstopshe haraka sana anakoelekea sio nimesh2ka.
hata mi nashangaa
kumbe na we hujaachaga usahaulifu, yaani tangu zamani we ni kusahau tu...... Sa ngoja nikukumbushe.... Ni hiviii ile perfume ulininunulia ukampa 'Valentina' aniletee 'Valentina' naehakuifikisha kwangu hadi alipofumwa na bwana ake ndio anajidai kuniletea.......!
Bora umemshtukia mapema,na ukichelewa si ajabu atajiunga na ufriimason kabisa
umenifanya nicheke bnamu wa my husband ww washangaa nn wataka kunambia memor wako alipotea kabsa.
mie Karucee mpaka avue hilo koba lake ndo namkaba maana nasikia ana hirizi humo zinahema plus hilo li spana akuuuuuu...... mbio za marathon zitanihusu
ajiunge mara ngapi?
we acha tu muke ya binamu nyama ya hamu
Haaaa haaa katengele, shikunga, ibaba, mtula, bwenda, luswisi, ikuti, kkk....... Lady doctor malizia
mmh bas dear wang ana upendo wa agape, kwann hawaletei vtabu???
Bora umemshtukia mapema,na ukichelewa si ajabu atajiunga na ufriimason kabisa
sijaona wala..
we acha tu muke ya binamu nyama ya hamu
Heee 'Valentina' ufrii...nini?
umenifanya nicheke bnamu wa my husband ww washangaa nn wataka kunambia memor wako alipotea kabsa.
Ukome kununulia mke wa mtu parfyum
Ile ilikuwa ya watoto ujue, sio ya mtu mzima.
Halafu na wewe kwanini hukupeleka mapema?
ah...dada!