JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

mwenzio mme wang sku hz nadhana kajiunga na chuo cha siasa kmyakmya cjui kko wap hcho make nataka nimstopshe haraka sana anakoelekea sio nimesh2ka.

Bora umemshtukia mapema,na ukichelewa si ajabu atajiunga na ufriimason kabisa
 
kumbe na we hujaachaga usahaulifu, yaani tangu zamani we ni kusahau tu...... Sa ngoja nikukumbushe.... Ni hiviii ile perfume ulininunulia ukampa 'Valentina' aniletee 'Valentina' naehakuifikisha kwangu hadi alipofumwa na bwana ake ndio anajidai kuniletea.......!

Heheee mambo yameanza kufumuka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom