JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

Kaizer anahusika kwenye ujauzito wa Lady doctor

Najua unajipendekeza uran, naona skendo yako ya ku pm wake za watu haijaisha unatafuta ingine.

Waume za watu wanajiletaga wenyewe. Arushaone siachani nae hata kwa lipi.... na hao wengine pia. Wote wangu.

Mtunze mumeo azawais I have room for him.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha!!! uran umenifurahisha sana kweli huu udaku special, nampa pole miss neddy kumbe hakujua mmewe Excel ni TEAMbazaz? ndo mana me nilishindwana naye kwa sababu hiyo ila usijali mamy utazoea tu....we mine Daudi1 na Kibo10 ndo nini kufichua siri ya mwenzenu mtaja sababisha watu wafe bure, kwanza mmejuaje au nyie ndo wale wale?????
Jamani huu umbea nimeanza lini tena? lakini huyo miss nedy kwa hajui kama mumewe yuko kwenye hiyo team nadhani anajua ila ukipenda ua penda na boga lake
 
Back
Top Bottom