mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
teh teh
ngoja waje?
ngoja waje?
liweke tu!! kama kuweka habari kwenye public ni dhambi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
liweke tu!! kama kuweka habari kwenye public ni dhambi...
teh teh
ngoja waje?
teh teh
ngoja waje?
mbona unatumia nguvu kubwa kumdefend jamaa? au bado hujamfilisi vizuri? #justsaying ...
Ushaambiwa unanfananisha...
Halafu wewe nitakuharibia kwa nanihiii....
nina mpango wa kukutakatisha
jana nilivyokuona mpenzi nilichanganyikiwa..
u luk very beautiful in white hny. nakupenda babylove wangu
kwani pale Baridi daladala haziendi Kivukoni?
nimemmiss Excel jamani yuko wapi?
yupo mamiii majukumu yamemzidia tu
fikisha hizi salam kwake mwambie weekend ndo hii imefika ule mpango wetu vipii?
mpango gani tenaaaaaaa
niweke wazi
Jamani huu umbea nimeanza lini tena? lakini huyo miss nedy kwa hajui kama mumewe yuko kwenye hiyo team nadhani anajua ila ukipenda ua penda na boga lakeha ha ha!!! uran umenifurahisha sana kweli huu udaku special, nampa pole miss neddy kumbe hakujua mmewe Excel ni TEAMbazaz? ndo mana me nilishindwana naye kwa sababu hiyo ila usijali mamy utazoea tu....we mine Daudi1 na Kibo10 ndo nini kufichua siri ya mwenzenu mtaja sababisha watu wafe bure, kwanza mmejuaje au nyie ndo wale wale?????
Nikung'ate sikio?Mmh darling ebu njo tule