Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna jitu lako ulilichamba,na mimi nililichana live hadi Leo linaninunia.
 
Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Hahhaha ,kumbe wakati mwingine ni bora kutojuana na watu nje ya hizi Id..asante cute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…