Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Teh teh mke wa Sumbai wapi mzee wa assist Raimundo teh na dada yetu rubii sijui kapotelea wapi
 
tangu nijiunge jf sijawahi m-pm mtu, kwanza naona(ga) ni upuuzi. humu maigizo mengi hata kuku wa kienyeji ana taka um-treat kama malkia wa nyuki.
Hahaha jamani kuna maneno humu ..kuku wa kienyeji atritiwe kama malikia wa nyuki aaa salaleee
 
Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Kunafikiana ndiyo habari ya mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…