Haha tangu nimeanza kulala na sumbai unaogopa kuja.Hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ni kwa vile ndoto zimekuwa tam
Sasa siku jisahau uje usipojuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha tangu nimeanza kulala na sumbai unaogopa kuja.Hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ni kwa vile ndoto zimekuwa tam
duuh haya bwanaSasa kama inaboa???? Uichekee tuu? Labda kinafki
Natamani kujua zaidi...chai mpya semosi ya zamani na kinyume chake
Hahaha jamani kuna maneno humu ..kuku wa kienyeji atritiwe kama malikia wa nyuki aaa salaleeetangu nijiunge jf sijawahi m-pm mtu, kwanza naona(ga) ni upuuzi. humu maigizo mengi hata kuku wa kienyeji ana taka um-treat kama malkia wa nyuki.
Hahahhahaah duuh jf haiishiwi vituko
[emoji15] [emoji15] [emoji15] were! Si una Mzigua90 lakini!! Au unayataka majuto kama ya mleta uziNaomba tuonane weekend ijayo kama hutojali.
Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Niulize kuhusu Mimi.
Hahaha sawa jf kwa vijimamboNiulize kuhusu Mimi.
Kunafikiana ndiyo habari ya mjini.Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Maneno kuntuuutangu nijiunge jf sijawahi m-pm mtu, kwanza naona(ga) ni upuuzi. humu maigizo mengi hata kuku wa kienyeji ana taka um-treat kama malkia wa nyuki.
Halooo. Unaongea na simu???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna jitu lako ulilichamba,na mimi nililichana live hadi Leo linaninunia.
Nazuga tu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji15] [emoji15] [emoji15] were! Si una Mzigua90 lakini!! Au unayataka majuto kama ya mleta uzi
Niulize kuhusu Mimi.
Nilishajiandaa kwa mtifuanoo!Hahaha sawa jf kwa vijimambo
Bangi hizo[emoji16][emoji16]Nilishajiandaa kwa mtifuanoo!
Ipi hiyo ? Ya matusi ? Nimevuka hiyo age siku nyingiNilishajiandaa kwa mtifuanoo!