Jf ukikurupuka utatamani kubadili ID

Bila shaka ULIMTONGOZA MKEO KWA MARA NYINGINE
 
Sijawahi ona kama JF ni sehemu ya kuwa serious sana.

Watu wanashindwa kujua uhalisia wa forums na mitandao ya kijamii. Unaweza kujua unachat na demu kumbe kidume au jini. Sio muumini mkubwa wa PM. Lay low na observe tu
 
Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Mh!
 
Watu wasiojulikana wa JF bhaana!

Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…